WAZIRI AWESO AMEMUAGIZA KATIBU MKUU KUCHIMBA VISIMA VIWILI VIKUBWA JIJINI DODOMA.

WAZIRI wa Maji Jumaa Aweso  ameridhishwa na utekelezaji wa mradi wa maji wa Mzakwe wenye thamani ya zaidi ya milioni 200 unaotarajiwa kupunguza adha ya maji kwa mkoa wa Dodoma huku akimuagiza Katibu Mkuu wa wizara hiyo kuhakikisha vinachimbwa visima vingine vikubwa viwili .  Waziri Aweso ameyasema hayo leo Jijini Dodoma  wakati akizungumza na waandishi